MAYELE AAHIDI KUPAMBANA MPAKA MWISHO KATIKA MCHEZO WA LEO - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Sunday 12 February 2023

MAYELE AAHIDI KUPAMBANA MPAKA MWISHO KATIKA MCHEZO WA LEO

 

Ikiwa tayari Club ya Yanga SC  imeshawasili nchini Tunisia kwajili ya kuanza mchezo wake wa kwanza wa hatua ya Makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika US Monastir.

Leo Yanga SC walikutana na waandishi wa habari kuzungumza kuelekea katika mchezo wao dhidi ya US Monastir.

Akizungumza na waandishi wa habari Fiston Mayele alisema...’Sisi kama Wachezaji tumejiandaa vizuri na tunajua tunaenda kukutana na timu nzuri, tuko tayari na muhimu tupo hapa kupambana na tutapambana mpaka mwisho‘- Fiston Mayele

No comments: