Ziara ya Rais Samia Suluhu Mtwara usipime - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Sunday 17 September 2023

Ziara ya Rais Samia Suluhu Mtwara usipime










NA Mwandishi Wetu, Mtwara


maipacarusha20@gmail.com


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan amesimama njiani kuzungumza na Wananchi wa Nanyumbu Mkoani Mtwara waliosimamisha msafara wake Barabarani kwa ajili ya kutaka kumsikiliza na kumsalimia leo September 17,2023 akiwa kwenye Ziara ya Kikazi Mkoani humo.


Rais  Dkt,Samia amepata wasaa wa kusikiliza changamoto mbalimbali za Wananchi na kutoa nafasi kwa Mawaziri kutolea ufafanuzi na majibu ya Papo kwa Papo.!!

No comments: