MAIPAC KUZINDUA MRADI WA MAZINGIRA KWA KUTUMIA MAARIFA YA ASILI AWAMU YA PILI - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Friday 5 July 2024

MAIPAC KUZINDUA MRADI WA MAZINGIRA KWA KUTUMIA MAARIFA YA ASILI AWAMU YA PILI

 



Na: Mwandishi Wetu maipac 


maipacarusha20@gmail.com 


Shirika la waandishi wa Habari jamii za pembezoni MAIPAC kesho wanatatajia kuzindua mradi wa Uhifadhi wa mazingira kwa kutumia maarifa ya asili awamu ya pili.


Akizungumza na waandishi wa habari mjini Karatu Mkurugenzi mtendaji wa Maipac Mussa Juma amesema kuwa mradi huo utazinduliwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Monduli Isack Joseph katika ukumbi wa Makambo -Te Makuti uliopo eneo la Kigongoni mto wa Mbu 


Amesema mradi huu ni sehemu ya pili ya mradi wa Uhifadhi mazingira kwa maarifa ya asili uliohusisha jamii za Maasai ila Sasa utaangazia jamii za wahadzabe na wadatoga.






No comments: