![]() |
Basi dogo la abiria Gari lililogonga |
Na Lilian Kasenene, Morogoro
maipacarusha20@gmail.com
ABIRIA waliokuwa wakisafiri kwa basi dogo la abiria maarufu kama daladala wamejeruhiwa baada ya gari hiyo kugongwa kwa nyuma na Lori aina ya Fuso Katika eneo la Kihonda Manispaa ya Morogoro, barabara kuu ya Morogoro-Dodoma.
Ajali hiyo imetomea majira ya asubuhi baada ya lori kumshinda dereva kwenye mteremko wa daraja la treni ya Mwendo Kasi (SGR).
No comments:
Post a Comment