![]() |
| David Kafulila |
Rais Samia Suluh Hassan amefanya uteuzi kwa baadhi ya viongozi mbalimbali nchini.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na kurugenzi ya mawasiliano Ikulu jioni hii miongoni mwa walioteuliwa ni David Kafulila anayekwenda kuwa kamishina wa ubia kati ya sekta ya Umma na sekta binafsi.
Wengine ni Dokta Ellen Mkondya Mkurugenzi mtendaji wa Taasisi ya Benjamin Mkapa (Mkapa Foundation) anakwenda kuwa Mwenyekiti wa BODI ya wadhamini wa Hospital ya TAIFA Muhimbili



No comments:
Post a Comment