AJALI YA BASI YASABABISHA VIFO VYA WATU 12 NA WENGINE WAKERUHIWA DODOMA - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Thursday 9 February 2023

AJALI YA BASI YASABABISHA VIFO VYA WATU 12 NA WENGINE WAKERUHIWA DODOMA

Picha ya ajali ya gari iliyotokea DODOMA

 




 Mwandishi wetu,Dodoma 

WATU 12 wamepoteza maisha baada ya basi a Frester lililokuwa likitokea Bukoba kwenda Dar es salaam kugongana uso kwa uso na Lori la Texas majira usiku wa kuamkia leo. 

Ajali hiyo imetokea eneo Kiiji Cha Silwa wilaya ya Kongwa Mkoani Dodoma. 

Katibu Tawala mkoa wa Dodoma Dk Fatma Mganga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambapo watu 12 wamepoteza maisha. 

Álisema mkuu wa mkoa wa Dodoma Rosemary Senyamule yuko eneo la tukio. 

No comments: