![]() |
| Katibu Mkuu CCM DANIEL CHONGOLO akizungumza na wananchi mara baada ya msafara wake kuzuiliwa |
![]() |
| Wananchi wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM DANIEL CHONGOLO |
Msafara wa Sekretarieti ya CCM Taifa imesimamishwa na wananchi wa kijiji cha Ndaleta na kuzungumza kero zao na kutatuliwa papo kwa papo na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Daniel Chongolo akiwa njiani kuelekea wilayani Kiteto Mkoa wa Manyara leo Tarehe 09 Machi 2023.




No comments:
Post a Comment