BAJETI WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAPITA KWA KISHINDO - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Monday 5 June 2023

BAJETI WIZARA YA MALIASILI NA UTALII YAPITA KWA KISHINDO


Wabunge WA Bunge la jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakubali mikakati 10 ya kuboresha sekta ya Utalii.

Hapa ni habari picha za matukio bungeni

Waziri wa Maliasili na Utalii akijibu hoka za wabunge


Nyuso za furaha 

Baadhi ya viongozi wa Taasisi zilizo chini ya Wizara ya Maliasili na Utalii wakiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa mara baada ya Bajeti Yao kupitishwa na Bunge 



Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Dkt Hassan Abbas akiwa na mwenyekiti wa bodi ya TANAPA Jenerali Mstaafu Mwita Waitara wakipongezana baada ya Bajeti kupitishwa

Wenyekiti WA BODI ya TANAPA Jenerali Mstaafu Mwita Waitara akimpongeza Waziri wa Maliasili na Utalii 






No comments: