HABARI PICHA YANAYOJIRI KATIKA MISA YA MAZISHI YA KAMANDA ZELOTHE STEVEN - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Monday 30 October 2023

HABARI PICHA YANAYOJIRI KATIKA MISA YA MAZISHI YA KAMANDA ZELOTHE STEVEN

 

Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akisaini kitabu Cha maombolezo 


Katibu Mkuu CCM Taifa Daniel Chongolo

Na Mwandishi Wetu, Arusha


maipacarusha20@gmail.com


Katibu Mkuu Chama Cha Mapinduzi Taifa, Daniel Godfery Chongolo, akitafakari jambo wakati wa Ibaada Maalum ya Mazishi ya aliyekuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi (mstaafu) wa Jeshi la polisi nchini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, Marehemu Zelothe Stephene Zelothe nyumbani kwake, Kitongoji cha Olosiva kata ya Oloirieni, wilaya ya Arumeru.


Ratiba ya Mazishi inaendelea muda huu 30.10.2023


Bwana Alitoa, Bwana Ametwaa, Jina lake Libarikiwe🙏




Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Chama Chama Mapinduzi, Ndugu Paul Christian Makonda, akitoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Kamishna Msaidizi Mwandamizi (mstaafu) wa Jeshi la polisi nchini na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Arusha, Marehemu Zelothe Stephene Zelothe 

Ndugu Makonda ameungana na waombolezaji wengine kushiriki Ibada maalum ya mazishi ya Marehemu Zelothe, nyumbani kwake, Kitongoji cha Olosiva kata ya Oloirieni, wilaya ya Arumeru



No comments: