TRENI YA MIZIGO RELI YA KATI YAPATA AJALI MOROGORO, BEHEWA - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Monday 29 July 2024

TRENI YA MIZIGO RELI YA KATI YAPATA AJALI MOROGORO, BEHEWA










Stesheni masta msaidizi  Morogoro Godfrey Temba









Na: Lilian Kasenene, Morogoro


maipacarusha20@gmail.com


MABEHEWA matano kati ya 20 ya Treni ya Mizigo iliyokuwa kwenye Reli ya Kati ikitokea jijini Dar es salaam kuelekea Mikoa ya bara yameanguka eneo la Bingwa kwa Masista Manispaa ya Morogoro.

Akizungumza na Waandishi wa Habari, Stesheni masta msaidizi Morogoro Godfrey Temba alisema treni hiyo ilibeba mzigo wa ngano na ilikuwa na mabehewa 20 ambapo kati ya hizo mabehewa matano yamepinduka.


Temba alisema ajali imetokea saa 12 jioni na bado chanzo Cha ajali hiyo hakijafahamika kwa sasa mafundi wanaendelea na uchunguzi kubaini chanzo chake lakini hakuna madhara yoyote ya kibinadamu yaliyojitokeza.


Mwisho.


No comments: