WAZIRI WA MAJI AWESO AWASILI MOROGORO KWA ZIARA YA SIKU MOJA - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Tuesday 23 July 2024

WAZIRI WA MAJI AWESO AWASILI MOROGORO KWA ZIARA YA SIKU MOJA

 





Na Lilian Kasenene, Morogoro


maipacarusha20@gmail.com


Waziri wa Maji Jumaa Aweso amewasili Mkoani Morogoro kwa ziara ya kikazi ya siku moja, ambapo katika ziara yake hiyo atakagua mitambo ya kusukuma maji Tumbaku, kukagua shughuli za uzalishaji maji Mafiga, kushuhudia utiaji saini mkataba wa uboreshaji wa huduma ya maji - Gairo pamoja na kuzungumza Wananchi.


Anafanya ziara yake leo Jumanne  tarehe 23 Julai 2024 Manispaa ya Morogoro na Wilaya ya Gairo.

No comments: