Rais Samia Suluhu Hassan, amemtembelea na kumjulia hali Sheikh Rashid Hamad Othman, ambaye ni Baba Mlezi wa Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, katika Hospitali ya Aga Khan, Dar es Salaam, alikolazwa akipatiwa matibabu.
Rais Samia, amemtembelea Sheikh Othman leo, Jumatatu Julai 6, 2026
![]() |
| Rais Samia akimjulia Hali baba wa Mwenyekiti wa ACT-Wazalendo |


No comments:
Post a Comment