Ilianza mipango, ikafuata ahadi na sasa rasmi utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), Tabora-Kigoma umeanza.
![]() |
Tarehe 20 Julai 2026, Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliweka jiwe la msingi kuashiria kuanza utekelezaji.
Haya ni sehemu ya mambo unayopaswa kujua kuhusu mradi huu.


No comments:
Post a Comment