RAIS SAMIA ATEUA WAKUU WA MIKOA NA WENGINE AWAHAMISHA VITUO VYA KAZI - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Thursday, 27 August 2026

RAIS SAMIA ATEUA WAKUU WA MIKOA NA WENGINE AWAHAMISHA VITUO VYA KAZI


Rais Samia Suluhu Hassani


mwandishi wetu


maipacarusha20@gmail.com


Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uhamisho wa  wa Wakuu wa Mikoa  na Makatibu tawala wa Mikoa.

kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu kiongozi Balozi Dkt. Mosses Kusiluka imeonesha uteuzi wa wakuu wa mnikoa wapya wanne na waliohamishwa vituo vya kazi ni sita wakati waliostaafu ni wawili


Kwa taarifa zaidi soma hapa chini

No comments: