Wajumbe wa Mkutano wa IPU 153 Hifadhini Ngorongoro - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Wednesday, 7 October 2026

Wajumbe wa Mkutano wa IPU 153 Hifadhini Ngorongoro








Wajumbe na washiriki wa Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), walipotembelea Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro na Makumbusho ya Urithi wa Kijiolojia (Geopark) yaliyopo Karatu mkoani Arusha, na kushuhudia upekee wa ikolojia ya Tanzania pamoja na wanyamapori waliopo katika hifadhi hiyo ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa vitendo wa diplomasia ya uchumi na utalii.

#IPU153Tanzania












No comments: