Project manager wa shirika la wanahabari wanaosaidia jamii za pembezoni MAIPAC Debora Makando akielezea namna mradi wa kuhifadhi mazingira, misitu, vyanzo vya maji na nyanda za malisho ulivyo na umuhimu kwakizazi cha sasa na baadae
Halima Mollel mkazi wa Kijiji cha Selela kata ya selela wilayani Monduli mkoani Arusha akifafanua jinsi wanavyotunza vyanzo vya maji
katibu wa msitu wa kijamii wa Enguserosambu uliopo wilayanin Ngorongoro mkoani Arusha akielezea namna msitu huo ulivyotunzwa kwa kutumia maarifa ya asili
No comments:
Post a Comment