KATIBU MKUU CCM DANIEL CHONGOLO AHITIMISHA ZIARA YAKE SINGIDA KWA MAFANIKIO - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Saturday 4 March 2023

KATIBU MKUU CCM DANIEL CHONGOLO AHITIMISHA ZIARA YAKE SINGIDA KWA MAFANIKIO

Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo akizungumza na wananchi wa Singida 

 





Na: Mwandishi wetu Maipac 


maipacarusha20@gmail.com


Sekretarieti ya CCM Taifa ikiongozwa na katibu Mkuu wa CCM Ndg.Daniel Chongolo akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Idara ya Organaizesheni Comred Issa Gavu pamoja na Katibu wa NEC Idara ya Itikadi na Uenezi Ndg. Sophia Mjema leo wamehitimisha ziara yao ya kukagua na kutekeleza ilani pamoja na Uhai wa Chama kwa kuzungumza  na Wanachama,Wakereketwa wa CCM Pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Singida Katika Mkutano wa Hadhara Uliofanyika Katika Viwanja Vya Bombadia  Mkoani Singida.


Pamoja na wao wameambatana na Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Ndg. Kenani Kihongosi wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Ndg. Mohammed Kawaida.


#CCMImara

#KaziIendel

No comments: