AJALI YA LORI, COASTER NA HIACE YASABABISHA VIFO KADHAA JIJINI ARUSHA - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Saturday 24 February 2024

AJALI YA LORI, COASTER NA HIACE YASABABISHA VIFO KADHAA JIJINI ARUSHA




Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia katika ajali  iliyotokea eneo la Kibaoni Ngaramtoni, wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha ikihusisha magari matatu kugongana.




Kwa munibu wa mashuhuda wanasema Chanzo cha ajali hiyo ni baada ya gari lililokuwa limepakia mtambo wa mashine ya kutengeneza barabara kuacha njia na kuparamia magari matatu ambayo ni Coster, Haice na gari ndogo binafsi lililokuwa imepakia raia wa kigeni ambao wawili kati yao wanahofiwa kufariki dunia eneo la tukio.


Miili ya marehemu imehifadhiwa katika chumba cha maiti katika hospitali ya Rufaa ya Mt Meru ,huku majeruhi wakipelekwa kupatiwa matibabu katika hospitali ya ALMC na Mount Meru.


Endelea kuwa nasi Kwa Taarifa zaidi










No comments: