Na Mwandishi Wetu Maipac
maipacarusha20@gmail.com
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akikabidhi Pikipiki na Vishikwambi kwa maafisa mifugo kwaajili ya kurahisisha Shughuli za kuwahudumia wafugaji Nchini wakati wa Uzinduzi wa Kampeni ya Kitaifa ya Chanjo na Utambuzi wa Mifugo pamoja na Kilele Cha Kongamano la Wafugaji 2025 Wilayani Bariadi Mkoani Simiyu leo Juni 16,2025.



No comments:
Post a Comment