Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padri Dkt. Charles Kitima.
Katika mazungumzo yao wawili hao pamoja na masuala mengine, wamezungumza kuhusu umuhimu wa kuendelea kudumisha Amani, Umoja na Mshikamano wa Taifa.
Mazungumzo hayo yamefanyika leo Julai 6, 2026 katika Ofisi za Makao Makuu ya TEC, Kurasini Jijini Dar es Salaam.
![]() |
| Spika Zungu, Kitima wajadili umuhimu kudumisha amani |


No comments:
Post a Comment