| Aliyekuwa Makamu wa Rais, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi |
MWANDISHI WETU
maipacarusha20@gmail.com
Halmashauri kuu ya ccm iliyoketi usiku huu chini ya mwenyekiti wake Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imeazimia kumfukuza uanachama aliyekuwa Makamu wa Rais Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.
Akizungumza na waandishi wa habari usiku huu Lumumba jijini Daresalaam, katibu mkuu wa CCM Dkt. Asha Rose Migiro amesema kamati kuu imejadili kuhusu suala la nidhamu na maadili ambalo lilikuwa linamkabili Balozi Emmanuel Nchimbi na baada ya kuzingatia taarifa zilizokuwepo ilithibitisha kwamba katiba ya CCM na kanuni zake zilikiukwa na hivyo nchimbi amefukuzwa uanachama wa chama cha Mapinduzi.
No comments:
Post a Comment