Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, ameongoza matembezi ya miguu kuzindua rasmi wa Tamasha la Kizimkazi 2026, yakianzia Kitogani hadi Kiembeni, Kizimkazi Dimbani, Zanzibar.
Tamasha hilo lenye kauli mbiu “Shangwe na Fursa” linafanyika kuanzia Agosti 12 hadi 14, likijumuisha shughuli mbalimbali zikiwamo uzinduzi wa miradi ya maendeleo, makongamano, maonesho, michezo na burudani.




No comments:
Post a Comment