NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA AGREY MWANRI AANZA ZIARA MKOA KILIMANJARO - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Tuesday, 22 September 2026

NAIBU KATIBU MKUU CCM BARA AGREY MWANRI AANZA ZIARA MKOA KILIMANJARO

Mbunge wa Jimbo la Vunjo, mkoani Kilimanjaro, Enock Koola akisalimiana na Naibu katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Bara,  Agrey Mwanri wakati alipowasili katika ofisi za chama hicho Mkoa wa Kilimanjaro, kuanza ziara ya kikazi.

 
Na Mwandishi wetu, Kilimanjaro

 Naibu katibu Mkuu wa chama cha mapinduzi (CCM) Bara,  Agrey Mwanri leo jumanne September 22 ameanza ziara ya kikazi ya siku nane mkoani Kilimanjaro 


Mwanri amepokelewa leo  Septemba 22, katika ofisi za chama hicho na kuanza kikao cha kamati ya siasa ya mkoa huo.

Mwanri yupo Kilimanjaro kwa ziara ya kikazi ya siku 8 ambapo atatembelea wilaya zote za mkoa huo.

No comments: