Dr. Tulia Aainisha mafanikio ya IPU kufanyika nchini - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Monday, 5 October 2026

Dr. Tulia Aainisha mafanikio ya IPU kufanyika nchini

 

Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson akitoa ufafanuzi katika mkutano na Waandishi wa Habari, (Oktoba 5,2026) kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea katika mkutano wa 153 wa IPU, unaoendelea jijini Arusha. 




Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson akitoa ufafanuzi katika mkutano na Waandishi wa Habari, (Oktoba 5,2026) kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea katika mkutano wa 153 wa IPU, unaoendelea jijini Arusha. Katikati ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu na kulia, ni Katibu Mkuu wa IPU, Anda FIlip.



No comments: