TUME YA JAJI LILA YATUA ARUSHA🇹🇿 - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Monday, 16 November 2026

TUME YA JAJI LILA YATUA ARUSHA🇹🇿

 


Tume ya Rais ya Uchunguzi wa Wahusika wa ghasia na Ukiukwaji wa Sheria katika matukio ya ghasia wakati na baada ya ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, inayojulikana kama "Tume ya Jaji Lila" inawaarifu wananchi wote wa Mkoa wa Arusha kuwa Tume hiyo iko Mkoani Arusha na inakutana na wananchi wote wahanga wa matukio na watu wenye taarifa muhimu kwenye Ofisi za Hazina Ndogo Arusha (Njia ya kuelekea Hospitali ya Shiri Hindu ukitokea Metro Pol ) kuanzia kesho Jumanne tarehe 17 - 21 Novemba, 2026 kuanzia saa 03:00 asubuhi mpaka saa 09:00 alasiri.


Hivyo wananchi wote na Wahanga wa matukio mbalimbali  na watu wote wenye taarifa muhimu zitakazowezesha kusaidiana na Tume.


Wote mnakaribishwa na kutoa ushirikiano


Usikiapo Tangazo hili, tafadhali mjulishe na mwingine

No comments: