Na Mwandishi Wetu
maipacarusha@gmail.com
1. Bima ya Afya kwa Wote kuanza rasmi na wazee, watoto, wajawazito na walemavu
2. Matibabu bure ya saratani, sukari, figo, na moyo kwa wasio na uwezo
3. Marufuku kuzuia maiti hospitali.
4. Wahudumu wapya wa afya 5,000 kuajiriwa
5. Mkakati wa kuwezesha kila mtoto wa darasa la tatu kusoma, kuhesabu na kuandika.
6. TBD (summarize)
7. Walimu wapya 7,000 wa hisabati na sayansi kuajiriwa.
8. Bilioni 200 za mitaji kwa vijana na wanawake
9. Kurasimishwa kwa sekta isiyo rasmi ikiwemo mama lishe, bodaboda na wajasiriamali wadogo.
10. Program ya ujenzi wa mitaa ya viwanda kila wilaya kuanza rasmi.
11. Kuanzisha Gridi ya Taifa ya Maji
12. Kuzinduliwa kwa miradi ya haraka ya nishati kupunguza utegemezi wa kuni na mkaa
13. Kuongeza kasi ya ujenzi wa barabara za lami na zege mijini na vijijini.
14. Viongozi wa serikali kuwajibika moja kwa moja kwa wananchi.
15. Kuanzisha mchakato wa Katiba mpya
![]() |




No comments:
Post a Comment