Aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, amekuwa miongoni mwa viongozi na watu mashuhuri waliofika kushuhudia tukio la kihistoria la uzinduzi wa Mradi wa Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP) kinachozunduliwa leo na Rais Samia Suluhu Hassan, wilayani Rufuji mkoani Pwani.

No comments:
Post a Comment