Rais Samia Suluhu Hassan akipokelewa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi wakati alipowasili katika eneo la Mradi Kituo cha Kuzalisha Umeme cha Julius Nyerere (JNHPP).
Rais Samia leo Agosti 22, 2026 atazindua rasmi mradi wa JNHPP wenye uwezo wa kuzalisha Megawati 2,115 katika eneo la mradi lililopo Rufiji, Mkoa wa Pwani.


No comments:
Post a Comment