Mwandishi Wetu maipac
maipacarusha20@gmail.com
Rais Samia Suluhu Hassan, amesema kila mwaka Tamasha la Kizimkazi linapofanyika, linaacha alama kutokana na uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo.
Rais Samia ameyasema hayo leo Agosti 14, 2026 wakati wa kilele cha Tamasha la Kizimkazi, kilichofanyika Viwanja vya Mwehe, Kusini Unguja, visiwani Zanzibar.
Amesema tamasha hilo ni sehemu muhimu ya maendeleo na ustawi wa wananchi wa Wilaya ya Kusini maeneo ya jirani na Zanzibar kwa ujumla.
Amesema miradi yote iliyozinduliwa au kujengwa kupitia tamasha hilo inaakisi malengo ya kuanzishwa kwa Kizimkazi Festival


No comments:
Post a Comment