Rais Samia aridhia Dk Nchimbi kujiuzulu - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Wednesday, 26 August 2026

Rais Samia aridhia Dk Nchimbi kujiuzulu

 



Rais Samia Suluhu Hassan, ameridhia ombi la Dk Emmanuel Nchimbi, kujiuzulu wadhifa wa makamu wa rais, saa chache baada ya kupokea barua yake.


Taarifa kwa umma iliyotolewa leo, Agosti 25, 2026 na kutiwa saini na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Moses Kusiluka, imeeleza taratibu za kikatiba za kumpata Makamu wa Rais zitachukuliwa.


“Rais Samia amepokea barua ya ombi la kujiuzulu Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dk Emmanuel Nchimbi kuanzia Septemba 4, 2026. Mheshimiwa Rais ameridhia ombi hilo,” imeeleza sehemu ya taarifa hiyo.

No comments: