Washiriki IPU 153 Wamiminika Banda la ‘Karibu Tanzania - MAIPAC MEDIA TANZANIA

Breaking

MAIPAC MEDIA TANZANIA

A Centre for Indigenous and Pastoralists Community Informations




Tuesday, 6 October 2026

Washiriki IPU 153 Wamiminika Banda la ‘Karibu Tanzania

 




Wageni mbalimbali wanaoshiriki Mkutano wa 153 wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) wametembelea Banda la “Karibu Tanzania” jijini Arusha, ambako wamepata fursa ya kufahamu historia ya Tanzania, safari yake ya demokrasia na hatua mbalimbali za maendeleo.


Katika banda hilo, wageni wamepata maelezo kuhusu miradi mikubwa ya kimkakati inayotekelezwa nchini, pamoja na hatua zilizopigwa katika sekta mbalimbali zikiwemo miundombinu, afya, elimu, uwezeshaji wa wanawake na utekelezaji wa Malengo ya Maendeleo Endelevu (SDGs).


#IPU153Tanzania

No comments: